Tuesday 15 January 2013

VIJIMAMBO: FULLSHANGWEBLOG INAWAOMBA RADHI WADAU WAKE

VIJIMAMBO
FULLSHANGWEBLOG INAWAOMBA RADHI WADAU WAKE
Jan 16th 2013, 00:02

WADAU WETU WA MTANDAO WA FULLSHANGWEBLOG TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOTE AMBAO UMETOKEA BAADA YA MTANDAO WETU KUTOKUWA HEWANI KWA SIKU YA PILI SASA KUTOKANA NA MATATIZO YALIYOJITOKEZA.

WATAALAMU WETU WANAENDELEA NA MAREKEBISHO NA WAKATI WOWOTE TUTARUDI HEWANI KUENDELEA NA MAJUKUMU YA KUPASHA HABARI TUNAWAOMBA RADHI WADAU WETU PIA AMBAO NI NMB, NBC, SERENGETI BREWERIERS, BAYPORT, TTB NA WILNA INTERNATIONAL NA WENGINE WOTE AMBAO TUMEKUWA TUKISHIRIKIANA NAO TUNAOMBA MUWE NA SUBIRA WAKATI TUNATATUA TATIZO HILO.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment