Monday 21 January 2013

VIJIMAMBO: Hotuba ya Balozi Mhe. Mwanaidi Maajar alipowaaga wanajumuiya wa DMV

VIJIMAMBO
thumbnail Hotuba ya Balozi Mhe. Mwanaidi Maajar alipowaaga wanajumuiya wa DMV
Jan 22nd 2013, 01:11

Hotuba ya Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar kwa wana Jumuiya ya Tanzania DMV (Washington DC, Maryland na Virginia) Siku ya Jumapili Jan 20, 2013 hapa College Park, jimbo la Maryland nchini Marekani.
Hii ilikuwa ni siku maalum ambayo Jumuiya hiyo ilimuaga rasmi katika wadhifa wake wa Ubalozi.
Karibu umsikilize.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment