Monday 21 January 2013

VIJIMAMBO: NAPE,MWAKYEMBE NA MANGULA WATIKISA MWANZA

VIJIMAMBO
thumbnail NAPE,MWAKYEMBE NA MANGULA WATIKISA MWANZA
Jan 21st 2013, 22:48

Nape na Mhe.  Dr. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye mkutano wa CCM mwanza uliohudhuriwa kwa wingi na wakaazi wa Mwanza na Vitongoji
Philip Mang'ula makamu mwenyekiti CCM akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Mwanza waliofika kwenye mkutano wa CCM Nyamagana Jumapili January 2013
Nape Nnauye, Katibu mkuu wa halimashauli ya CCM Taifa, Itikadi na uenezi akihutubia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Jumapili January 20, 2013 Nyamagana,
Juu na chini ni Wakaazi wa Mwanza na vitongoji vyake wakiwa kwenye mkutano wa CCM uliofanyika mjini huko Jumapili January 20, 2013
Mhe. Dr.Harrison Mwakyembe katika picha ya pamoja na makamu wa mwenyekii CCM, Philip Mang,ula kwenye mkutano wa CCM Mwanza Jumapili January 20, 2013
Nape Nnauye pamoja na Mhewakiongozwa na Mzee Mangula makamu mwnyekiti wa CCM Bara, wamelitikisa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza na kuhudhuriwa na maelfu ya wafuasi wa CCM na wananchi wa jiji hilo. Pamoja na mambo mengine makamanda hao walielezea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment