Friday 18 January 2013

VIJIMAMBO: Nyota Ndogo Atupiwa Lawama

VIJIMAMBO
Nyota Ndogo Atupiwa Lawama
Jan 18th 2013, 22:23


Nyota_Ndogo_Getmziki.jpg (560×372)


Mwanamuziki wa nchini Kenya, Nyota Ndogo, amepata maswahiba  makubwa ikiwa ndio kwaanza mwaka unaanza hasa baada ya kuibuka kwa mwanamuziki chipukizi ambaye anadai kuwa mwanadada huyu amemuibia wimbo yake.
 
Msanii huyu chipukizi ambaye anakwenda kwa jina Kachela Kroma, amesema nyimbo hiyo inabeba ujumbe wa amani ndani yake, na kwa kuthibitisha zaidi hili amesema kuwa, alirekodi kazi hii mwaka 2007 baada ya vurugu za uchaguzi mkuu wa nchini Kenya.
 
Msanii Nyota Ndogo hajaweza kupatikana kuzungumzia hili mpaka sasa ili kupata ukweli halisi wa inshu hii ambayo kiukweli, Kachela anamlaumu mtayarishaji muziki Jesse kutoka Ketebuk Music kwa kuvujisha kazi hii.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment