Friday 4 January 2013

VIJIMAMBO: Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete waenda kutoa pole nyumbani kwa marehemu Sajuki leo.

VIJIMAMBO
thumbnail Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete waenda kutoa pole nyumbani kwa marehemu Sajuki leo.
Jan 4th 2013, 17:47

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo ambako walienda kutoa pole leo Januari 4, 2013. 
PICHA NA IKULU.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment