Friday 18 January 2013

VIJIMAMBO: ROGER'S EXPORTS LLC

VIJIMAMBO
thumbnail ROGER'S EXPORTS LLC
Jan 18th 2013, 22:00

Tunawatangazia watanzania wote na marafiki, kwa wale wanaopendelea kusafirisha
mizigo kwa njia ya contena kutoka U.S.A. kwenda Zanzibar na Dar-es-salaam Tanzania,usafiri utakuwepo Feb-5-2013, ukusanyaji wa mizigo Northern States, Boston,CT,NY,NJ, utafanyika kuanzia Jan-19thru--Jan-20,wasiliana na Haji kwa
maelekezo zaidi ya ukusanyaji wa mizigo #919-672-6063 au wasiliana na ndugu
Katt Mwilima #732-322-7992 muwakilishi Northern States, kwa  uchukuaji wa mizigo hiyo,vile vile ukusanyaji wa mizigo South na Midwest KS,MO,TN,GA,NC,VA,OH,PA,DL,MD,DC. utafanyika Jan-25thru--Jan-28, na vile vile tunawatangazia watu wote tumeanzisha huduma mpya ya FedEx Ground,unachohitaji ni kupeleka mzigo au mizigo yako katika ofisi yeyote ya FedEx bila ya kulipa chochote, FedEx
watawasilisha mzigo wako, kwa ufafanuzi zaidi wa huduma hii mpya tupigie sim
#919-672-6063 na pia tembelea Tavuti yetu WWW.RODGERSEXPORTS.COM, Tunatanguliza Shukran Zetu Kwenu Nyote.

HAJI ABDULLA
CEO OF RODGERS EXPORTS LLC

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment