Tuesday 15 January 2013

VIJIMAMBO: TASWIRA YA SHEREHE ZA MAPINDUZI, WASHINGTON STATE, USA

VIJIMAMBO
thumbnail TASWIRA YA SHEREHE ZA MAPINDUZI, WASHINGTON STATE, USA
Jan 15th 2013, 22:10


 Watanzania Washington State wakijumuika pamoja na marafiki zao kwenye sherehe ya Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika Jumamosi January 12, 2013 511 156th Ave, NE Bullevue
 Watanzania na marafiki zao wakipata chakula kwenye sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zilizo fanyika Bullevue, Washington, State siku ya Jumamosi January 12, 2013 na musiki kuporomoshwa na Dj Dullysmart
 Mayor wa Seattle Amin akiwa pamoja na mama mwenye nyumba wake.
Watanzania wa Washington State wakipata menyu siku ya sherehe za mapindunzi ya Zanzibar zilizofanyika Jumamosi January 12, 2013 Bullevue, WA
Chakula kikiendelea taratibu huku stori zikiendelea siku ya January 12, 2013 Watanzania wa Washington State walipojumuika pamoja na marafiki zao kusherehekea Mapinduzi ya Zanzibar
Kwa picha zaidi bofya read more

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment