Monday 11 March 2013

VIJIMAMBO: HAPA NA PALE MTOTO MWENYE MIAKA 8 AVUTA JIKO MAMBO HAYO NI UKO KWA MADIBA

VIJIMAMBO
HAPA NA PALE MTOTO MWENYE MIAKA 8 AVUTA JIKO MAMBO HAYO NI UKO KWA MADIBA
Mar 12th 2013, 02:47


Hii imetokea Tshwane South Africa.

Huyu mtoto anasema wazee wa zamani ndio walimuamrisha aoe lakini pamoja na hilo, hawajasaini cheti cha ndoa na wala hawaishi pamoja ambapo wazazi wa huyu bwana harusi walichangia harusi kwa kutoa euro 1500 ambazo walisisitiza ni kama matambiko na sio kisheria.

Mtoto huyu aitwae Sanele amekaririwa akisema "nilimwambia mama yangu, nahitaji kweli kuoa na nimefurahi nimemuoa Helen lakini nikikua nitaoa mwanamke wa umri wangu"

Mama mzazi wa Sanale anasema "babu yake ndio alimchangulia Sanale amuoe Helen kwa sababu yeye(Babu) anampenda, na wamefanya hivyo ili kutimiza maagizo ya wazee wa koo ambao wameshafariki, yani ni kama matambiko"

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment