Papa Mpya Francis akitokea kwenye kibaraza kwenye kanisa la Mt. Peter mji wa Vatican baada ya kuchaguliwa leo Jumamtano March 13, 2013. Papa Francis ndie Papa wa kwanza kuchaguliwa ambae hatokei Ulaya na amekua Papa wa 266, Cadinali Jorge Mario Bergoglio kutoka Argentina atakaye waongoza Wakatoliki wapatao Bilioni 1.2 Duniani
Papa Francis akiendesha sala ya kuiombea Dunia kwa mara ya kwanza kama Papa
No comments:
Post a Comment