Wednesday 13 March 2013

VIJIMAMBO: Mvua kali zaharibu nyumba kadhaa mkoani Mtwara.

VIJIMAMBO
thumbnail Mvua kali zaharibu nyumba kadhaa mkoani Mtwara.
Mar 13th 2013, 19:10

Mvua kubwa zilizonyesha mkoani Mtwara zimesababisha nyumba kadhaa mitaa ya Magomeni Matopeni na Nkana-red katika manispaa ya Mtwara/Mikindani kubomoka, zingine kuingiwa na maji na kusababisha hasara kubwa ya mali na maisha ya watu kuwa hatarini

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment