Monday 11 March 2013

VIJIMAMBO: UHURU KENYATTA NA RUTO KANISANI JANA BAADA YA USHINDI, RUTO ALISHINDWA KUJIZUIA NA IKAWA HIVI

VIJIMAMBO
UHURU KENYATTA NA RUTO KANISANI JANA BAADA YA USHINDI, RUTO ALISHINDWA KUJIZUIA NA IKAWA HIVI
Mar 12th 2013, 02:53

Baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Urais nchini Kenya jumamosi iliyopita, jana jumapili march 10 2013 Rais Uhuru Kenyatta alihudhuria ibada ya kumshukuru Mungu.

Standard Media wameripoti kwamba Rais huyu wa awamu ya nne aliwasili Kanisani huko Gatundu akiwa na ulinzi mkali ambao unalingana na levo yake ya Urais.
Vilevile William Ruto ambae ni mgombea mwenza na Uhuru alihudhuria ibada ya kumshukuru Mungu kanisani anakosali jijini Nairobi.
Ruto alimwaga machozi na kushindwa kuongea wakati aliposimama mara ya kwanza mbele ya umati kutoa ushuhuda wa ushindi wao pamoja na kumshukuru Mungu kwa kuwapigania.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment