Monday 22 April 2013

VIJIMAMBO: Maombi yaliowasilishwa na makada wa CCM yametupiliwa mbali na mahakama ya rufaa.

VIJIMAMBO
thumbnail Maombi yaliowasilishwa na makada wa CCM yametupiliwa mbali na mahakama ya rufaa.
Apr 23rd 2013, 00:05

Mahakama ya rufaa ya tanzania imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na makada watatu wachama cha mapinduzi ya kutaka chombo hicho kufanya mapitio ya hukumu ya mahakama ya rufaa iliyomrejeshea ubunge mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema Chadema na kuamuru walalamikaji kulipa gharama zote za kesi hiyo.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment