Monday 22 April 2013

VIJIMAMBO: Rais JK amesema migogoro mingi bara la Afrika imesababishwa na baadhi ya viongozi.

VIJIMAMBO
thumbnail Rais JK amesema migogoro mingi bara la Afrika imesababishwa na baadhi ya viongozi.
Apr 22nd 2013, 23:56

Rais Jakaya Kikwete amesema migogoro mingi katika bara la Afrika imesababishwa na baadhi ya viongozi ndani ya Afrika ambao wanakubali kutumika na watu ama vikundi vya watu wasiolitakia mema bara hilo na kuongeza kuwa umoja wa Afrika hautakuwa na ushirikiano na kiongozi wa nchi yeyote ya Afrika atakayeingia madarakani bila kufuata utaratibu wa kikatiba.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment