Sunday, 30 December 2012

VIJIMAMBO: AUNTY MARTHA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA IBADA

VIJIMAMBO
thumbnail AUNTY MARTHA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA IBADA
Dec 30th 2012, 16:30

 
Aunty Martha mkazi wa Maryland, nchini Marekani akiwa kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries siku ya Birthday yake iliyofanyika kanisani hapo
Aunty Martha aiwa na mchungaji Mbatta akisoma neno
ndugu, jamaa, marafiki na waumini wenzake wakiwa kwenye ibada siku ya Aunty Martha aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa ibada iliyofanyikia katika kanisa la The Way of the cross goepel ministries lililopo College Park Maryland
Juu na chini waumini waliojumuika pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kwenye ibada ya siku ya kuzaliwa na Aunty Martha iliyofanyika kanisani hapo.
Kwa picha zaidi bofya read more


You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment