Wednesday, 26 December 2012

VIJIMAMBO: Erica Lulakwa Azindua Kampeni ya Kurekodi Albamu yake ya Kwanza

VIJIMAMBO
thumbnail Erica Lulakwa Azindua Kampeni ya Kurekodi Albamu yake ya Kwanza
Dec 26th 2012, 18:35

Mtanzania Erica Lulakwa amezindua kampeni yake kupitia tovuti ya Indiegogo kwa ajili ya kurekodi albamu yake ya kwanza ambayo itarekodiwa na produza wa kimataifa Andre Manga. Produza Manga ameshafanya kazi na wanamuziki maarufu kama Angelique Kidjo na Josh Grobin washindi wa Grammy Award. Erica anahitaji kufikia watu wengi duniani ili kufanikisha lengo lake.

Kwa maelezo zaidi na zawadi mbalimbali bonyeza:

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment