Sunday 23 December 2012

VIJIMAMBO: TASWILA MBALIMBALI KWENYE ANNUAL HOLIDAY PARTY YA VIZION ONE

VIJIMAMBO
thumbnail TASWILA MBALIMBALI KWENYE ANNUAL HOLIDAY PARTY YA VIZION ONE
Dec 23rd 2012, 20:46

sherehe ya kufunga mwaka ya Vizion One iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Jumamosi December 21, 2012 na Boss wao Abdallah Kitwala kuwakabidhi wafanyakazi wake watano zawadi za ufanyakazi bora na wengine kupata zawadi za sikukuu ya Xmas na mwaka mpya.
Mshsreheshaji Tuma akifafanua jambo
Juu na chini picha mbalimbali kwenye zuria jekundu na twasila mbalimbali za matukia yaliyotokea siku hii maalum ya kambpuni hii kufunga mwka kwa kishindo.
Mwenyekiti wa CHADEMA DMV Cosmas akiwa kwenye zuria jekundu
kwa picha zaidi bofya read more


You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment