Wednesday, 26 December 2012

VIJIMAMBO: Yanga yachezea kichapo kutoka Tusker FC ya Kenya

VIJIMAMBO
thumbnail Yanga yachezea kichapo kutoka Tusker FC ya Kenya
Dec 26th 2012, 18:02


Aliyekuwa Shabiki Mkuu wa timu ya Simba akiwadhihaki mashabiki wa timu hiyo baada ya kutangaza kwamba kuanzia leo atakuwa anaishabikia Simba.

Jamani mi ni Yanga Siyo Simba tena
Mchezaji wa timu ya Tusker FC ya Kenya aliyewahi kuichezea Yanga, Joseph Shikokoti mwenye jezi 18 akisalimiana na wachezaji wa Yanga kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.
Joseph Shikokoti wa Tusker FC akipiga mpira na kichwa mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Yanga yafungwa 1-0 kwa njia ya Penati

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment