Sunday, 30 December 2012

VIJIMAMBO: YANGA YAWASILI SALAMA ANTALYA - UTURUKI

VIJIMAMBO
thumbnail YANGA YAWASILI SALAMA ANTALYA - UTURUKI
Dec 30th 2012, 19:27

Wachezaji wakielekea sehemu ya kutokea baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Antalya na wataelekea katika hotel ya Fame Residence.
Antalya Airport tayari kwa safari ya kwenda hotelin
@Fame Residence Lara & Spa Hotel reception
@Meeting at Fema Residence
Ernest Brandts & Mohamed Nyege
Meneja wa timu Hafidh Saleh akiongea na wachezaji wakati cha chakula cha udsiku

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment