Tuesday, 29 January 2013

VIJIMAMBO: CHADEMA YAFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA BARAZA KUU JIJINI DAR ES SALAAM

VIJIMAMBO
thumbnail CHADEMA YAFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA BARAZA KUU JIJINI DAR ES SALAAM
Jan 29th 2013, 23:21

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo.
Katibu Mkuu Dk. Willbroad Slaa akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Clemence Tara baada ya kujiunga na chama hicho.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad Slaa (kulia) wakati wa Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo.
Mbunge Kigoma, Zitto Kabwe akiwasikiliza kwa makini wajumbe wa kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kutoka mkoa wa Mtwara.
kwa picha zaidi bofya read more
Picha juu na Chini sehemu ya wajumbe wakiitikia Peoples Power.
Sehemu ya Wabunge wa Chadema.
Wajumbe wa mkutano.
Baadahi ya wabunge wa Chadema wakiwa katika kikao hicho.
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (katikati) akiwa amepozi na baadhi ya wajumbe.
(Picha zote na Mdau Dande Francis)

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment