Tuesday, 25 December 2012

VIJIMAMBO: Misa itaanza saa nane kamili tafadhali zingatia muda

VIJIMAMBO
thumbnail Misa itaanza saa nane kamili tafadhali zingatia muda
Dec 25th 2012, 22:19



Mchungaji Mama Perucy Butiku na Waumini wa Kanisa la New Hope Lutheran Church - Long Island, New York wanapenda kuwakaribisha Watanzania walioko maeneo ya Tristate na mengineyo kwenye Misa ya Kiswahili ya kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya 2013. Misa itakuwa interfaith, watu wa dini na madhehebu mbali mbali mnakaribishwa. Watu wa mataifa mengine wanaozungumza Kiswahili pia wanakaribishwa. Vyakula, vinywaji na networking vitaendelea baada ya ibada.

Lini:
Jumapili Desemba 30, 2012
Muda:
Saa nane mchana (2pm). 
Misa itaanza saa nane kamili tafadhali zingatia muda
Address:
New Trinity Lutheran Church, 60 Oliver Avenue, Valley Stream, NY 11580

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment