Tuesday, 25 December 2012

VIJIMAMBO: Misa ya kuuaga mwili wa marehemu Lavius Kalemera

VIJIMAMBO
Misa ya kuuaga mwili wa marehemu Lavius Kalemera
Dec 25th 2012, 22:14


Misa ya kuuaga mwili wa marehemu Lavius Kalemera itakuwa tarehe 26/12/12. Misa itakuwa kuanzia saa 4 asubuhi mpaka tano asubuhi. Na Viewing itakuwa. Saa tano mpaka saa Sita mchana. Address ni. .
Marvil Funeral Home. 1110 Main st. PA 19023. 
Simu ni 
Baada ya hapo tutakutana nyumbani nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya chakula cha mchana. Address. 
356 Greenwood rd. Sharon Hill PA. 19079. 
Simu 
4843185050

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment