Jumatatu January 7, 2013 gwiji la ukung'utaji wa kitaa la kati kutoka DPC, Lokassa ya Mbongo Jina alilopewa naTabu Ley Rochereau wakati akiwa na miaka 16, Lokassa atalonga na Vijimambo ataelezea safari yake ndefu ya muziki yenye mabomde na milima inayosisimua, inayofundisha na usione mtu anakula raha, hujui mateso gani aliyopitia mpaka utakapo pata bahati akuhadithie. USIKOSE
Kushoto ni Felix Muzungu, mtafsiri wetu wa lugha ya kifaransa kwa kiingereza akiwa na wanawe, Ma Winny Case(watatu toka kushoto) katika ya pamoja na Lokassa Ya Mbongo
No comments:
Post a Comment