MATANANGE WA COASTAL UNION NA AZAM FC KOMBE LA MAPINDUZI Jan 3rd 2013, 23:28
 | Kiungo wa Coastal Union ya Tanga, Jerry Santo akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam FC ya Dar es Salaam, Salum Abubakar katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar usiku huu. Timu hizo zilitoka 0-0. |
 | Hatari langoni mwa Coastal |
 | Suleiman Kassim 'Selembe' akimuacha chini Khamis Mcha 'Vialli' |
 | Kipre Balou akiuwahi mpira mrefi dhidi ya Jerry Santo wa Coastal |
 | Himid Mao wa Azam na Mohamed Mtindi wa Coastal Union wakigombea mpira
Picha zote kwa hisani ya Bin Zubery Blog
Kwa picha zaidi Bofya read more |
 | Himid Mao na Salum Abubakar wakishirikiana kumpokonya mpira mchezaji wa Coastal |
 | Suleiman Kassim 'Selembe' akimtoka kiungo wa Azam, Khamis Mcha 'Vialli' |
 | Juma Mpongo amedaka mbele ya mshambuliaji wa Azam, Gaudence Mwaikimba |
 | Brian Umony wa Azam akiwa amemuangukia mchezaji wa Coastal |
 | Hamisi Shengo wa Coastal Union, akitafuta mbinu za kumtoka Humphrey Mieno wa Coastal Union |
 | Hamisi Shengo wa Coastal Union, akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Humphrey Mieno wa Azam |
 | Kikosi cha Azam leo |
 | Manahodha Jerry Santo wa Coastal Union na Himid Mao wa Azam FC kulia |
 | Kikosi cha Coastal Union leo |
 | Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Bihindi Hamad Khamis akisalimiana na kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar kabla ya mechi ya Kundi B ya Kombe la Mapinduzi kati yao na Coastal Union kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. |
 | Rais wa ZFA, Aman Ibrahim Makungu akisalimiana na beki wa Azam FC, Joackins Atudo kabla ya mechi ya Kundi B ya Kombe la Mapinduzi kati yao na Coastal Union kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. | | |
No comments:
Post a Comment