Sunday, 27 January 2013

VIJIMAMBO: NDIZI NI TUNDA AU CHAKULA MKOA WA MBEYA NDIYO NDIYO MAARUFU KWA KILIMO CHA NDIZI LAKINI WANUFAIKAJI WAKUBWA NI WAFANYABIASHARA WANAOUZA NDIZI HIZO KATIKA JIJI LA DAR NDIZI 3 KWA 1000 NA SHAMBANI UNUNUA KWA MKUNGU MZIMA KUANZIA 500 HADI 1500 NA WAKULAUMIWA

VIJIMAMBO
thumbnail NDIZI NI TUNDA AU CHAKULA MKOA WA MBEYA NDIYO NDIYO MAARUFU KWA KILIMO CHA NDIZI LAKINI WANUFAIKAJI WAKUBWA NI WAFANYABIASHARA WANAOUZA NDIZI HIZO KATIKA JIJI LA DAR NDIZI 3 KWA 1000 NA SHAMBANI UNUNUA KWA MKUNGU MZIMA KUANZIA 500 HADI 1500 NA WAKULAUMIWA
Jan 28th 2013, 02:21

HII NI MIGOMBA AMBAYO NDIZI ZAKE ZIMECHUMBIWA NA WALANGUZI KWA SHILINGI 1000/ WILAYANI RUNGWE KWAKWELI MKULIMA ANAIBIWA
AKINA MAMA WA KIWIRA WILAYANI RUNGWE WAKIUZA MIKUNGU YA NDIZI KATI YA SHILINGI 1000 MPAKA 1500 KWA MKUNGU MMOJA NA WALANGUZI WANANUNUA HAPO NA KUSAFIRISHA KUPELEA DSM 
BIBI HUYU ANAUZA HUO MKUNGU WA NDIZI KWA SHILINGI 800 ILI APATE HELA YA SABUNI NA CHUMVI
HII MIKUNGU YA NDIZI TAYARI IMENUNULIWA NA WALANGUZI KWA KILA MKUNGU KWA SHILINGI 1000 MPAKA 1500 HAPO ZINASUBIRI KUSAFIRISHWA KWENDA DSM
HUYU BWANA YEYE NDIYE MWENYE BEI KUBWA KWANI MKUNGU WA NDIZI ANAUZA SHILINGI, 2500 HAKIKA SERIKALI INATAKIWA KUWASAIDIA WAKULIMA HAWA
HAPA NI KIWIRA KWENYE GULIO LA IJUMAA NDIPO WAKULIMA WANAPOLETA MAZAO YAO HAPA NA KUNUNULIWA NA WALANGUZI TOKA DSM
MZIGO WA NDIZI UNAENDELEA KUPANDISHWA KATIKA MAROLI TAYARI KWA KWENDA DSM KWA UJUMLA MKUNGU MMOJA WA NDIZI HUSAFIRISHWA KWA KATI YA SHILINGI 1OOO MPAKA 1500 KWA KWENDA DSM NA UKIFIKA HUKO HUO MKUNGU WA DIZI HUUZWA KWA SHILINGI 1,5000 MPAKA 25,000 KWAKWELI MKULIMA HAKUNA ANACHOAMBULIA ILA MLANGUZI NDIYE ANAEFAIDI MAZAO HAYO
NDIZI HIZOOOO MKUNGU MMOJA KWA SHILINGI 1000 NA UNAENDA KUUZWA DSM KWA SHILINGI 15,000 DU HII KALI
HAKIKA KWELI CHOMBO CHA MWALIMU FAIDA TUPU MUKULIMA ANAAMBULIA PATUPU
HAPA MPAKA SHILINGI 500 UNAPATA MKUNGU WA NDIZI

HAPA MWANDISH WETU JOSEPH MWAISANGO AKIBEMBELEZWA ANUNUE MKUNGU WA NDIZI KWA SHILINGI 1000/ NA WANAZIDI KUSHUSHA MAPAKA SHILINGI 700/ SIJUI ATANUNUA MKUNGU WA NANI HAPA MAANA KILAMMOJA ANAMSHAWISHI KWA BEI YAKE

PICHA NA MBEYA YETU

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment