Wednesday, 23 January 2013

VIJIMAMBO: SHUKURANI KWA WANAKAMATI NA WANAJUMUIYA- DMV

VIJIMAMBO
thumbnail SHUKURANI KWA WANAKAMATI NA WANAJUMUIYA- DMV
Jan 23rd 2013, 20:04


Uongozi wa wa Jumuiya ya watanzania DMV unapenda kuwashukuru wanakamati na wanajumuiya kwa ushirikiano wenu wa hali na mali kwenye shughuli nzima ya kumuaga balozi wetu. Uongozi umefurahishwa kwa ushirikiano wenu katika kufanikisha shughuli yetu. Tunawatakia heri na Baraka.
Uongozi,

Jumuiya Ya Watanzania DMV
www.watanzaniadmv.org

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment