Wednesday, 23 January 2013

VIJIMAMBO: WIMBO WA TAIFA UNALETA BARAKA

VIJIMAMBO
thumbnail WIMBO WA TAIFA UNALETA BARAKA
Jan 23rd 2013, 22:37


"MTANZANIA UMEBARIKIWA" and the following.........MWAKA HUU MPYA, MTANZANIA UNAKUMBUSHWA KUWA UMEBARIKIWA NA MUNGU.  KILA UNAPOIMBA WIMBO WA TAIFA, WEWE UNAIOMBEA AFRICA NA NCHI YAKO IZIDI KUWA NA UPENDO NA AMANI.  MUNGU AMESIKIA SASA WEWE JITAYARISHE KUBARIKI,UWE NA MOYO WA SHUKRANI KWA YOTE ATAKAYOFANYA.  MWAMINI, ATAKUSAIDIE KATIKA MAPITO YOTE,    Dr Mordi

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment