Monday, 25 February 2013

VIJIMAMBO: Dogo Janja Akiwa Cape Town - South Africa

VIJIMAMBO
Dogo Janja Akiwa Cape Town - South Africa
Feb 26th 2013, 04:31



Dogo janja....
Msanii kutoka Arusha ambae kwa sasa makazi yake yamehamia Bongo, akiwa chini ya label ya Watanashati Entertainment akiwa kishule na kimuziki zaidi, Dogo Janja yupo jijini Cape Town, South Africa. 

Janjaro ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake inayokwenda kwa jina la Ya Moyoni akimshirikisha Mtanashatimwenzie, PNC bado haijafahamika kuwa ameenda nchini humo kwa ajili ya matembezi au kwa shughuli za kimuziki.



Bado tunafuatilia kwa karibu ili kujua kilichompeleka huko.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment