|
Alikiba |
AliKiba na Ommy Dimpoz wapo nchini Uingereza wakipiga show kwa mashabiki wao waishio nchini humo.
Hii ni moja ya show ambayo waliifanya weekend hii katika ukumbi wa disco uitwao OutLet.
Check baadhi ya picha za kwenye show hiyo, tazama hapa chini...
No comments:
Post a Comment