Hukumu ya katibu wa taasisi na jumuia za kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda na wenzake 49 imegonga mwamba baada ya kushindwa kutolewa kwa sababu hakimu aliyetakiwa kutoa hukumu hiyo, hakuwepo huku nje ya mahakama hiyo kukiwa na ulinzi mkali wa polisi.
You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.
No comments:
Post a Comment