Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiongoza maelfu ya waombolezajikatika mazishi ya Bi Kidude katika kijiji cha marehemu
Kitumba Wilaya ya Kati Unguja ambako viongozi na waombolezaji hawakujali mvua kubwa iliyonyesha wakati wa maziko
Mpiha picha Peter Bennet akiwa na waombolezaji wenzie.
Miamvuli ya majani ya migomba ilisaidia kiasi
kwa picha zaidi bofya read more Wasanii kibao kutoka bara walikuwa miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza kumzika Bi Kidude
Mufti wa Zanzibar akisalimia viongozi
Mwandaaji wa filamu ya Bi Kidude ya As Old as My Tongue Bw Andy James wa kampuni ya Screenstation ya Uingereza akisalimiana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi ya Bi Kidude
Maziko ya Bi Kidude
Diamond akisalimia viongozi
Ruge Mutahaba akisalimia viongozi huku Diamond akifuta machozi
Fid Q akisalimu viongozi
Mzee Yusuf akiwa na waombolezaji wenzi
Picha kwa hisani ya Michuzi
No comments:
Post a Comment