Monday, 24 December 2012

VIJIMAMBO: Barnaba na Suma Lee waitingisha London

VIJIMAMBO
thumbnail Barnaba na Suma Lee waitingisha London
Dec 24th 2012, 15:26

Mh Naibu Balozi Kilimanga akiongea machache
Jestina akimtambulisha kwenye steji Promota Safina Kassu
Barnaba akiimba kwa hisia
Suma Lee akijibu mashambulizi
Barnaba akicharaza gitaa
Barnaba akifanya makamuzi
Barnaba akiwadatisha mashabiki na Magume gume
Hakunaga kama Suma
Kwa picha zaidi bofya read more
Suma Lee akifanya vitu vyake
Machifu wa Ghana
Mr & Mrs Chabaka Kilumanga
 Wadau wakifualia show
Wadau wakijimwaga

Kassu Ent iliandaa tamasha maalum kutoka kwa wasanii wetu wa kizazi kipya iliowajumuisha Barbaba na Suma Lee. Tamasha hili lilikwenda sambamba kwa kusherekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika siku ya jumamosi tarehe 22.12.12 jijini London katika ukumbi wa Stratford.

Mgeni rasmi alikua naibu Balozi Chabaka Kilumanga alieambatana na mkewe Irene Kilumanga. Aidha Mh Balozi Kilumanga aliwapongeza watanzania walioweza kuja kujumuika na kusherekea pamoja katika siku hii na kuwasihi kuendeleza mshikamano kwa kuishi pamoja kwa amani na upendo.

Kwa maelezo zaidi picha na tarehe za shoo zijazo tembelea www.jestina-george.com

Urban Pulse Creative

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment