Wednesday 27 February 2013

VIJIMAMBO: MAPACHA WATATU KUZINDUA YARABI NAFSI MARCH 2

VIJIMAMBO
thumbnail MAPACHA WATATU KUZINDUA YARABI NAFSI MARCH 2
Feb 28th 2013, 02:08

Waimbaji wa bendi ya Mapacha watatu Khalidi Chokolaa (kushoto) na Jose Mara wakiwa wameshika CD ya albam yao mpya Dar es salaam jana watakayoizindua March 2 katika ukumbi wa bussines park.
Meneja wa bendi ya Mapacha Watatu akizungumza na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wao 
Msanii wa bendi ya mapacha watatu Catherine Fidelic ' Cindy' akiimba mbele ya wana habari
Picha kwa hisani ya burudaniblog.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment