Saturday 27 April 2013

VIJIMAMBO: BIRTHDAY YA MAXWELL NA MARK COLLEGE PARK, MARYLAND

VIJIMAMBO
thumbnail BIRTHDAY YA MAXWELL NA MARK COLLEGE PARK, MARYLAND
Apr 28th 2013, 03:19

Watoto Maxwell (aliyebebwa na mama yake) na Mark wakiwa na wazazi wao meza kuu kwenye sherehe ya kuzaliwa kwao iliyofanyika College Park Maryland Jumamosi April 27, 2013 na kuhudhuriwa na watoto wenzao waliokuwa chini ya uangalizi wa wazazi wao.
 
Martha akisheserehesha sherehe ya siku ya kuzaliwa ya wadogo zake iliyofanyika Jumamosi April 27, 2013 College Park, Maryland, nchini Marekani.

Maxwell akiishangaa Camera ya mpiga picha kwenye sherehe yake ya siku ya kuzaliwa iliyofanyika College Park, Maryland.
 Watoto waliohudhuria sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Maxwell na Mark wakiwa na wazazi wao.
 Wazazi wakiwa na watoto wao kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Maxwell na Mark..
 Watoto waliohudhuria sherehe ya kuzaliwa ya Maxwell na Mark wakipata pich ya pamoja na wazazi wao.
 Mama na mwana katika picha ya pamoja.
 Wazazi wakiwa na watoto wao kwenye sherehe ya Maxwell na Mark iliyofanyika College Park, Maryland Jumamosi April 27, 2013.
Wazazi wakiwa na watoto wao.
 Juu na chini watoto na wazazi wao wakiselebuka
Kwa picha zaidi bofya read more

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment