Friday 26 April 2013

VIJIMAMBO: MSIBA NEW JERSEY NA TANZANIA

VIJIMAMBO
thumbnail MSIBA NEW JERSEY NA TANZANIA
Apr 27th 2013, 00:12

Adolph, Brian au Thadeo Lwakajende Enzi ya uhai wake

Watanzania waishio New Jersey na New York City wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Adolph, Brian au Thadeo Lwakajende. kilichotokea Livingston, NJ. Jumatano tarehe 24. Wanaomba watu wajumuike nao katika kuchangisha na hatimae kuwezesha kumsafirisha marehemu kwa mazishi Tanzania. 

Tunaomba msaada wako wa hali na mali popote pale ulipo, mzigo huu ni wetu na Adollph ni ndugu yetu, Jamaa yetu, rafiki yetu, mpendwa wetu na Mtanzania mwenzetu. kwa pamoja tunaweza

Unaweza kutuma mchango wako kupitia BANK OF AMERICA # 48303342384

Kwa Mawasiliano na maelekezo piga simu

Rahma Adam (617) 818-7657.

Peter Luangisa (917) 681-6971

Rashidi Kamugisha (973) 703-4596

Bernard Kivugo (973)580-7166

William Vedasto (973)551-2916

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment