Friday, 19 April 2013

VIJIMAMBO: KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

VIJIMAMBO
KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI
Apr 19th 2013, 23:06


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika mazungumzo na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe Diana Melrose aliyemtembelea leo April 19, 2013 ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam. mazungumzo hayo yalihusu maswala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.
omb4 
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) nchini Bw. Elliot Marshall aliyeongozana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe Diana Melrose (katikati)
 aliyemtembelea leo April 19, 2013 ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam. mazungumzo hayo yalihusu maswala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.
PICHA NA IKULU

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment