Habari tulizozipta sasa hizi sinasema yule mtuhumiwa #2 ameonekana alikokua amejificha na Polisi walifyatua risasi kadhaa huku wakijaribu kumpata akiwa hai, mapema mtuhumiwa wa kwanza ambaye ni kaka yake aliuwawa mapema leo baada ya kujaribu kutoroka na gari waliyoipora kutoka kwa mkazi mmoja wa mji huo wa Watertown uliopo maili chache kutoka Boston kwa sasa Polisi wamezunguka sehemu alikojificha Mtuhumiwa huyo wa Milipuko ya Boston Marathon.Mjini. tutazidi kuwaletea habari zaidi
No comments:
Post a Comment