Saturday 12 January 2013

VIJIMAMBO: AJALI MBAYA YAJERUHI MMOJA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII

VIJIMAMBO
thumbnail AJALI MBAYA YAJERUHI MMOJA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
Jan 12th 2013, 18:16

Baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, wakimshusha mwenzao baada ya kujigonga kwenye mti na kujeruhiwa vibaya na kupasuka kichwa wakati akiwa kwenye Lori lenye namba za usajili 5514 JW 07 aina ya IVECO kandokando ya barabara ya Samora jirani na Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam leo jio.
Baadhi ya wasamalia wema wakimpeleka hospitali majeruhi huyo.
Majeruhi akiingizwa katika Bajaji tayari kwa ajili ya kupelekwa hospitali.
Lori aina ya IVECO ambalo majeruhi huyo alikuwa amepanda.
Hii ndio Barabara ya Samora ilipotokea ajali hiyo. 
Hapa ndipo alipojigonga majeruhi na kupasuka kichwa. Picha na Habari Mseto

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment