Thursday 31 January 2013

VIJIMAMBO: ROGER'S EXPORTS LLC FEBRUARY SHIPMENT

VIJIMAMBO
ROGER'S EXPORTS LLC FEBRUARY SHIPMENT
Feb 1st 2013, 02:43


Ndugu watanzania na marafiki wote, tunatanguliza shukrani zetu kwa watu wote waliojitokeza
katika harakati za ukusanyaji wa mizigo, tunawashukuru kwa kuitikia mwito wetu na kwa wale
ambao muda haukuwaruhusu kukutana na sisi kwa mazingira mbali mbali, bado hujachelewa
unaweza kutumia huduma zetu za FedExr Ground mzigo utatufikia, unachotakiwa kufanya chukua mzigo wako na wasilisha katika ofisi za FedEx bila ya malipo yoyote, kwa maelezo zaidi wasiliana na HAJI-919-672-6063,tarehe ya usafirishaji wa mzigo kutoka USA kwenda Tanzania imebadilika na tarehe mpya itakua Feb-15-2013,tunaomba radhi kwa watu wote kwa mabadiliko hayo na kwa wale watakaopendelea kutumia nafasi hii ya mabadiliko ya tarehe wasiliana na Haji au Feisal Njenje 919-627-4844 tutakua maeneo ya DMV (VA, DC, MD ) Feb-3 na Feb-4 kwa watu wa OH wasiliana na sisi kwa uchukuaji wa mzigo wako,tarehe ya mwisho ya uchukuaji wa mizigo Feb-11, Shukran.

HAJI ABDULLA
CEO RODGERS EXPORTS LLC
WWW.RODGERSEXPORTS.COM 

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment