Wednesday 30 January 2013

VIJIMAMBO: Nape akisaidia ujenzi wa shule ya sekondari Kasulu leo!

VIJIMAMBO
thumbnail Nape akisaidia ujenzi wa shule ya sekondari Kasulu leo!
Jan 30th 2013, 22:15

 Katibu  wa halimashauli ta CCM Taifa na Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akiongea jambo na wanafunzi wa shule ya Kasulu alipowatembelea leo na kushirikiana nao katika ujenzi wa Darasa wa shule hiyo
 Picha juu na chini ni Ujenzi ukiendelea huku Katibu wa Halimashauli ya CCM Taifa,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisaidiana na mafundi katika ujenzi wa moja ya madarasa ya shule hiyo
 Juu na chini Katibu wa Halimashauli ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi akikandika ukuta wa shule ya sekondari ya Kasulu
Nape Nnauye akipima kitu

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment