Tuesday 29 January 2013

VIJIMAMBO: UGOMVI WA SHILLING 100 RISASI NUSURA IMTOE ROHO YAKE KIJANA WA WATU.

VIJIMAMBO
UGOMVI WA SHILLING 100 RISASI NUSURA IMTOE ROHO YAKE KIJANA WA WATU.
Jan 30th 2013, 05:15

MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa deni la 100 hiyo ya maji aliyo kopa kujipoza na jua kali la bongo. 

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment