Wednesday 9 January 2013

VIJIMAMBO: ‘BETHIDEI’ YA BENY KINYAIYA YAFANA KWENYE BAA YAKE KINONDONI

VIJIMAMBO
thumbnail 'BETHIDEI' YA BENY KINYAIYA YAFANA KWENYE BAA YAKE KINONDONI
Jan 9th 2013, 22:41

Beny Kinyaiya (kulia) akiwa ameshikilia keki ya sherehe yake kabla ya kuikata na kuwalisha wageni wake.
Beny akikata vipande vya keki kuwalisha waalikwa
Akilishwa keki kwa staili yake.
Huyo ni rafiki yake.
Akimlisha Lady Naa keki.
kwa picha zaidi bofya read more
Castor Dickson akionjeshwa keki.
Babu wa Kitaa alikuwepo.
Nisha naye alishiriki.
Huyo ni kaka yake Beny.
Steve Nyerere akionja ladha ya keki hiyo.
Babu wa Kitaa akipata chakula na marafiki zake.
Steve Nyerere, Nisha na marafiki zao wakiwa katika pozi.
Baadhi ya waalikwa wakipata 'mbili-tatu'.
Marafiki zake wakimmwagia pombe na maji.
Akiendelea kumwagiwa maji.
Mvua ya maji na pombe ikiendelea kumuangukia.
Mzaliwa leo' akiomba asiendelee kumwagiwa maji.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment