Tuesday 15 January 2013

VIJIMAMBO: KOMPAY ANASEMA RED ALIYOPEWA KAONEWA JE WEWE UNASEMAJE

VIJIMAMBO
KOMPAY ANASEMA RED ALIYOPEWA KAONEWA JE WEWE UNASEMAJE
Jan 16th 2013, 00:33

Ball winner: Kompany (right) won the ball against Wilshere, but was sent off by referee Mike Dean
laza ya kuingia na miguu miwili ya mchezaji Vincent Kompany wa Man City dhidi ya mchezaji Wilshere wa Arsenal na yeye kudai haikua rafu ya kupata kadi nyekundu kwa sababu yeye aliupata mpira kama uliangalia mechi hiyo ni nini maoni yako
Gutted: Vincent Kompany was dismissed by Mike Dean (right) after a challenge on Arsenal's Jack Wilshere
Refarii wa Mike Dean akimtoa Vincent Kompany nje ya uwanja kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea Tuckling mchezaji wa Arsenal, Wilshere (hayupo)
Crunched: Fernando Torres skips out of the way as Kompany slides in during the Community Shield at Wembley
Mchezaji Vincent Kompany (jezi #4) akimchezea Tackle Fernando Torres wa Chelsea katika mechi ya kugombea Community Shield ambapo mechi hii Man City waliwashinda Chelsea 3-2. Kompany  hakupata kadi yeyote kwenye Tackle hii
Breakaway: Bradley Johnson was on the receiving end as Kompany won the ball which led to a City goal
Mchezaji Vinceny Kompany akimchezea Tackle Bradley Johnson wa Norwich na hakupata kadi kwa Laza hii
Forceful: Kompany might have been cautioned for this lunge during an FA Cup tie

Vincent Kompany akimchezea Tackle Fernando Forestieri  wa Watford na hakupata kadi kwenye Tackle hii

Dismissed: City fans were up in arms after their captain was red-carded for this tackle
Mchezaji Vincent Kompany akimchezea Tackle Nani, mchezaji wa Man United na Tackle hii alipata kadi nyekundu

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment