Monday 14 January 2013

VIJIMAMBO: Lady Jaydee Amaliza Ziara Yake Ya Kupanda Mlima Kilimanjaro.

VIJIMAMBO
Lady Jaydee Amaliza Ziara Yake Ya Kupanda Mlima Kilimanjaro.
Jan 14th 2013, 21:19

Msanii Lady Jaydee hatimaye jana ndio amaliza ziara yake ya siku sita ya kihistoria ya kupanda mlima waKilimanjaro. Ziara hiyo ambayo alianza siu ya January 8 akiwa na lengo la kutangaza utalii wa ndani ya Nchi yaTanzania huku akiwa ameongozana na mumewe Gadner G Habash ambae pia ndio msimamizi mkuu wa kazi zake zote.

Msafara wa Lady Jaydee uliwasili jana katika lango kuu la Marangu saa kumi na Mbili Jioni na kupokelewa na mhifadhi mkuu wa Hifandi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Bw. Erastus Lufungilo.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment