Tuesday 1 January 2013

VIJIMAMBO: MNUSO WA MKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA, BALOZI AAGA RASMI

VIJIMAMBO
thumbnail MNUSO WA MKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA, BALOZI AAGA RASMI
Jan 1st 2013, 18:18

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar akiongozana na mumewe Bwn Shariff Maajar (kati) wakisindikizwa na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Idd Sandaly (shoto) wakati walipokua wakiingia kwenye ukumbi wa Oxford uliopo Lanham, Maryland kwenye sherehe ya kuuaga mwaka 2012 na kuukaribisha 2013 iliyotayarishwa na Jumuiya DMVwakishirikiana na Ubalozi, pamoja na kuushukuru uongozi wa DMV, Mhe. Balozi aliwaaga rasmi wanajuiya ya DMV kwamba muda wake umeisha na atarejea nyumbani kuendelea na kazi zake binafsi, Mhe. Balozi pia  aliwashukuru WanaDMV kwa ushirikiano waliompa yeye na mumewe ikiwemo familia yake kwa muda wote aliokaa hapa na kuomba waendelee na moyo huo kwa Balozi mpya atakaekuja kuchukua nafasi yake.
Balozi wa Tanzania Mhe. Mwanaidi Maajar katika picha ya pamoja na mumewe Bwn. Shariff Maajar.
Mhe. Balozi akiongea jambo na Rais wa Jumuiya ya DMV, Bwn. Idd Sandaly.
Afisa Ubalozi Dr. Mkama katika picha ya pamoja na makamu wa Rais Jumuiya ya Watanzania DMV, Bwn. Raymond Abraham
Bwn. Shariff Maajar akiongea jambo na Dr. Hamza Mwamoyo (kulia) ambaye ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya udhamini Jumuiya DMV
Afisa Ubalozi Bwn. Missana katika picha.
Meza kuu katika picha ya pamoja.
 
Makamu wa Rais Jumuiya DMV akiongea jambo na kumkaribisha Rais Idd Sandaly
Rais wa jumuiya DMV Bwn. Idd Sandaly
Mhe. Balozi naMumwe katika picha ya pamoja na uongozi wa Jumuiya DMV wakati wa kukabidhi vyeti kwa wanajumuiya wanaojitolea katika kuchangia maendeleo ya Jumuiya katika sekta mbalimbali waliotukukiwa vyeti watu binafsi yakiwemo makampuni ni Asha Nyang'anyi, Didi Vava na Fadhili Londa, makampuni ni Metro Tires na Three Angeles Helth Care.
kwa picha zaidi bofya read more

 
 
juu na chini ni ukodak monent wa zuria jekundu 
 
 
 

 

 

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment