Nyumba inavyo onekana kwa nnje na awa ni moja ya wageni kutoka Tanzania waliishi hapa kwa muda wa wiki 3. Nyumba inavyumba vitatu vya kulala second floor na chini ni living room na jiko. Kwa wageni wanaotaka kutembelea New York na kuka kuanzia wiki hii inawahusu na hasa wale wa (Internship). Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Ny Ebra.
Ngazi za kuelekea 2nd floor ambo ndiko kuna vyumba vya kulala
Wageni wakiwa living room wakipata ukodak
Mgeni akipata ukodak
Wageni wakiwa nje ya nyumba
Hapa ni riving room
Chumba cha kulala
Ni moja kati ya vyumba vya kulala 2nd floor.
No comments:
Post a Comment