Monday, 25 February 2013

VIJIMAMBO: Hivi Ndivyo Show Ya AliKiba Na Ommy Dimpoz Ilivyofanyika London, Uingereza...

VIJIMAMBO
Hivi Ndivyo Show Ya AliKiba Na Ommy Dimpoz Ilivyofanyika London, Uingereza...
Feb 26th 2013, 04:23

Alikiba
AliKiba na Ommy Dimpoz wapo nchini Uingereza wakipiga show kwa mashabiki wao waishio nchini humo.
Hii ni moja ya show ambayo waliifanya weekend hii katika ukumbi wa disco uitwao OutLet.
Check baadhi ya picha za kwenye show hiyo, tazama hapa chini...

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment