Saturday 9 February 2013

VIJIMAMBO: Kigoma All Stars Wakifanya Shooting Ya Tangazo La NSSF

VIJIMAMBO
Kigoma All Stars Wakifanya Shooting Ya Tangazo La NSSF
Feb 10th 2013, 01:59


Wasanii kutoka Kigoma wakifanya la shirika la Hifadhi Ya Jamii ya [NSSF]... Pichani anaonekana Diamond Platnumz, Queen Darleen, Chege na wengineo.
Kundi hili kwa pamoja ni wasanii kutoka mkoa wa kigoma wakifanya vizuri kimuziki wakijulikana kama Kigoma All Stars wakitamba kwa ngoma zao kama LEKA DUTIGITE na mpya iliyotoka hivi karibuni, NYUMBANI...

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment