Monday, 25 February 2013

VIJIMAMBO: Show ya Kwanza ya Q-Chief Baada ya Miaka Mitano (New Maisha Club)

VIJIMAMBO
thumbnail Show ya Kwanza ya Q-Chief Baada ya Miaka Mitano (New Maisha Club)
Feb 26th 2013, 04:20


Msanii mkongwe nchini Abubakar Katwila aka Q-Chief jana Jumapili alifanya show ya kwanza baada ya miaka mitano katika ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar es Salaam. Katika show hiyo, Q-Chief alisindikizwa na wasanii wenzie ambao ni pamoja na Banana, H-Baba, Beka, Cassim, Barnaba na wengine.
Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.
Aliingia ukumbini kwa style hii

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment