Saturday 6 April 2013

VIJIMAMBO: BABY SHOWER YA REHEMA SARMETT, COLLEGE PARK, DMV

VIJIMAMBO
thumbnail BABY SHOWER YA REHEMA SARMETT, COLLEGE PARK, DMV
Apr 7th 2013, 04:10

Rehema na mumewe wakiingia ukumbini kwenye Baby shower yake iliyofanyika Jumamosi April 6, 2013 College Park, Maryland
 Rehema na mumewe wakiwa wameketi kwenye baby shower yake iliyofanyika College Park, Maryland Jumamosi April 6, 2013.
Rehema na mumewe wakipakua chakula kwenye baby shower yake iliyofanyika Jumamosi April 6, 2013 College Park, Maryland.
Rehema, mumewe na watoto wao wakikata keki
Rehema akilishwa keki na mumewe
Rehema akimlisha keki mumewe

Rehema na mumewe wakichumiana baada ya kulishana keki
Rehema akimlisha keki mwanae 
Rehema akimlisha keki mwanae
Mshereheshaji, Tuma akiwajibika
kwa picha zaidi bofya read more

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment