Thursday 18 April 2013

VIJIMAMBO: hukumu ya Sheikh Ponda yashindwa kutolewa kutokana na kutokuwepo hakimu.

VIJIMAMBO
thumbnail hukumu ya Sheikh Ponda yashindwa kutolewa kutokana na kutokuwepo hakimu.
Apr 18th 2013, 23:40

Hukumu ya katibu wa taasisi na jumuia za kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda na wenzake 49 imegonga mwamba baada ya kushindwa kutolewa kwa sababu hakimu aliyetakiwa kutoa hukumu hiyo, hakuwepo huku nje ya mahakama hiyo kukiwa na ulinzi mkali wa polisi.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment